picha hizo ni za makabidhiano ya vifaa vya mradi na. EDF/2016/382-097/GRT/CN.85 shughuli ya kukabidhi imefanyika katika kijiji cha ruma ambapo kwa mujibu wa taarifa ya tathimini ya kina ya athari za mazingira chenyewe kimependekezwa kuwa ni kituo cha soko na uratibu wa kitalu cha miche ya mikoko, pichani mh. diwani wa kata ya kiongoroni mh. kassim mtauka na mtendaji kata hiyo ndugu sobo pamoja na wajumbe wa kamati shirikishi ya mradi na viongozi wa pakaya katika picha ya pamoja.