Ziara ya ugawaji vifaa kijiji cha kiechuru.

Upakuwaji wa mizinga ya nyuki ukifanywa na wana kamati ya mazingira ya kijiji na wajumbe wawili wa kamati ya pamoja ya mradi[mcpc] wa kijiji cha kiechuru na viongozi wa pakaya  forodhani kiechuru.