Professor fortunatus makonda, dr. emanuel mbije na mwenyekiti wa kijiji kwa pamoja wakijadiliana pendekezo la eneo la ujenzi wa kambi ya kitalii katika hifadhi ya mchungu katika eneo hilo hapo kijijini.