katika kijiji cha nyamisati tuliweza kukutana na wadau wa ufugaji nyuki na upandaji mikoko kwa lengo la kuwafahamisha kilichojiri katika tathimini ya athari za mazingira na wao kijiji cha kimependekezwa kuwa kituo cha kuratibu shughuli za utalii, kwa uande wa serikali ya kijiji cha nyamisati ili wakilishwa na mkiti wa kitongoji