
Kuwasilisha taarifa ya mradi na mizinga ya nyuki kijijini msindaji
makabidhiano ya mizinga ishirini ya nyuki yanafanyika kijijini msindaji baina mwenyekiti wa kijiji na mkurugenzi wa mipango a uchumi wa pakaya ndugu kisoma kijijini hapo.

Kuwasilisha taarifa ya matokeo ya tathimini.
katika kijiji cha nyamisati tuliweza kukutana na wadau wa ufugaji nyuki na upandaji mikoko kwa lengo la kuwafahamisha kilichojiri katika tathimini ya athari za mazingira

Vifaa vya kitalu-mbuchi
hapa ni shule ya msingi mbuchi, mwalimu mkuu wa shule hiyo ambae ni kaimu-mtendaji wa kijiji hakipokea vifaa vya kuanzisha kitalu cha miche ya mikoko

Ziara ya ugawaji vifaa kijiji cha kiechuru.
Upakuwaji wa mizinga ya nyuki ukifanywa na wana kamati ya mazingira ya kijiji na wajumbe wawili wa kamati ya pamoja ya mradi[mcpc] wa kijiji cha

Ziara ya ugawaji wa vifaa vya mradi kata ya kiongoroni
picha hizo ni za makabidhiano ya vifaa vya mradi na. EDF/2016/382-097/GRT/CN.85 shughuli ya kukabidhi imefanyika katika kijiji cha ruma ambapo kwa mujibu wa taarifa ya

Ziara ya kijiji cha msindaji
Professor fortunatus makonda, dr. emanuel mbije na mwenyekiti wa kijiji kwa pamoja wakijadiliana pendekezo la eneo la ujenzi wa kambi ya kitalii katika hifadhi ya