hapa ni shule ya msingi mbuchi, mwalimu mkuu wa shule hiyo ambae ni kaimu-mtendaji wa kijiji hakipokea vifaa vya kuanzisha kitalu cha miche ya mikoko katika kituo cha uratibu wa upandaji wa mikoko katika maeneo ya ardhi ya kijiji ambayo yanafaa kupandwa miti ya mikoko, pichani ndugu mkurugenzi wa mipango na uchumi wa pakaya ndugu kisoma hakimkabidhi kaimu mtendaji wa kijiji.